sw_tn/2ki/25/28.md

20 lines
564 B
Markdown

# kiti kizuri zaidi kuliko kile cha wafalme
Kutoa sehemu nzuri kwenye meza ya chakula ni namna ya kumheshimu. "heshima zaidi kuliko wafalme wengine"
# akamvua Yekonia nguo za gerezani
Msomaji aelewe kwamba kumvua nguo zake za gerezani ni ishara ya kumfanya mtu huru.
# kwenye meza ya mfalme
"pamoja na mfalme na maafisa wake"
# Chakula cha siku zote kiliruhusiwa apewe yeye
Hii inaweza kufsiriwa katika umbo tendaji. "Mfalme alihakikisha kwamba alikuwa na chakula cha marupurupu siku zote"
# Chakula cha kila siku kiliruhusiwa
"Pesa ya kununulia chakula"