# kiti kizuri zaidi kuliko kile cha wafalme Kutoa sehemu nzuri kwenye meza ya chakula ni namna ya kumheshimu. "heshima zaidi kuliko wafalme wengine" # akamvua Yekonia nguo za gerezani Msomaji aelewe kwamba kumvua nguo zake za gerezani ni ishara ya kumfanya mtu huru. # kwenye meza ya mfalme "pamoja na mfalme na maafisa wake" # Chakula cha siku zote kiliruhusiwa apewe yeye Hii inaweza kufsiriwa katika umbo tendaji. "Mfalme alihakikisha kwamba alikuwa na chakula cha marupurupu siku zote" # Chakula cha kila siku kiliruhusiwa "Pesa ya kununulia chakula"