sw_tn/2ki/25/28.md

564 B

kiti kizuri zaidi kuliko kile cha wafalme

Kutoa sehemu nzuri kwenye meza ya chakula ni namna ya kumheshimu. "heshima zaidi kuliko wafalme wengine"

akamvua Yekonia nguo za gerezani

Msomaji aelewe kwamba kumvua nguo zake za gerezani ni ishara ya kumfanya mtu huru.

kwenye meza ya mfalme

"pamoja na mfalme na maafisa wake"

Chakula cha siku zote kiliruhusiwa apewe yeye

Hii inaweza kufsiriwa katika umbo tendaji. "Mfalme alihakikisha kwamba alikuwa na chakula cha marupurupu siku zote"

Chakula cha kila siku kiliruhusiwa

"Pesa ya kununulia chakula"