sw_tn/2ki/23/31.md

28 lines
617 B
Markdown

# umri wa miaka ishirini na tatu
umri wa miaka mitatu - "umri wa miaka 23"
# Hamathi
Hili ni jina la mwanamume.
# Libna ... Libna ... Hamathi
Haya ni majina ya maeneo.
# Yehoahazi alifanya yaliyo maovu usoni kwa Yahwe
"Uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo ... viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea vile ahukumuvyo.
# kumuweka kifungoni
Baada ya kumfunga kwa minyororo, huenda alimuweka katika gereza. "kumuweka katika kifungo"
# kuitoza Yuda
"kuwalzimisha watu wa Yuda kumpatia" (UDB)
# talanta mia moja ... talanta moja
Talanta moja ilikuwa kama kilogramu 33. "3,3000 kilogramu ... kilogramu 33"