sw_tn/2ki/23/31.md

617 B

umri wa miaka ishirini na tatu

umri wa miaka mitatu - "umri wa miaka 23"

Hamathi

Hili ni jina la mwanamume.

Libna ... Libna ... Hamathi

Haya ni majina ya maeneo.

Yehoahazi alifanya yaliyo maovu usoni kwa Yahwe

"Uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo ... viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea vile ahukumuvyo.

kumuweka kifungoni

Baada ya kumfunga kwa minyororo, huenda alimuweka katika gereza. "kumuweka katika kifungo"

kuitoza Yuda

"kuwalzimisha watu wa Yuda kumpatia" (UDB)

talanta mia moja ... talanta moja

Talanta moja ilikuwa kama kilogramu 33. "3,3000 kilogramu ... kilogramu 33"