# umri wa miaka ishirini na tatu umri wa miaka mitatu - "umri wa miaka 23" # Hamathi Hili ni jina la mwanamume. # Libna ... Libna ... Hamathi Haya ni majina ya maeneo. # Yehoahazi alifanya yaliyo maovu usoni kwa Yahwe "Uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo ... viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea vile ahukumuvyo. # kumuweka kifungoni Baada ya kumfunga kwa minyororo, huenda alimuweka katika gereza. "kumuweka katika kifungo" # kuitoza Yuda "kuwalzimisha watu wa Yuda kumpatia" (UDB) # talanta mia moja ... talanta moja Talanta moja ilikuwa kama kilogramu 33. "3,3000 kilogramu ... kilogramu 33"