sw_tn/2ki/20/06.md

450 B

Maelezo ya Jumla:

Ujumbe kutoka kwa Yahwe kwa Mfalme Hezekia kupitia nabii Isaya unaendelea.

Miaka kumi na tano

miaka 15

kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Ashuru

"Mkono" ni ishara ya nguvu, mamlaka na amri. "kutoka kwa amri ya mfalme wa Ashuru"

mkate wa tini

"gundi iliyotengenezwa na tini iliyochemshwa

Walifanya hivyo na kuiweka juu ya jipu lake

"Watumishi wa Hezekia walifanya hivyo na kuweka ile gundi kwenye uvimbe wa Hezekia"