# Maelezo ya Jumla: Ujumbe kutoka kwa Yahwe kwa Mfalme Hezekia kupitia nabii Isaya unaendelea. # Miaka kumi na tano miaka 15 # kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Ashuru "Mkono" ni ishara ya nguvu, mamlaka na amri. "kutoka kwa amri ya mfalme wa Ashuru" # mkate wa tini "gundi iliyotengenezwa na tini iliyochemshwa # Walifanya hivyo na kuiweka juu ya jipu lake "Watumishi wa Hezekia walifanya hivyo na kuweka ile gundi kwenye uvimbe wa Hezekia"