sw_tn/2ki/20/06.md

20 lines
450 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Ujumbe kutoka kwa Yahwe kwa Mfalme Hezekia kupitia nabii Isaya unaendelea.
# Miaka kumi na tano
miaka 15
# kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Ashuru
"Mkono" ni ishara ya nguvu, mamlaka na amri. "kutoka kwa amri ya mfalme wa Ashuru"
# mkate wa tini
"gundi iliyotengenezwa na tini iliyochemshwa
# Walifanya hivyo na kuiweka juu ya jipu lake
"Watumishi wa Hezekia walifanya hivyo na kuweka ile gundi kwenye uvimbe wa Hezekia"