|
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Mfalme Hezekia anaendelea kuomba kwa Yahwe baada ya kupokea barua kutoka kwa Mfalme Senakeribu wa Ashuru.
|
|
|
|
# nakusihi
|
|
|
|
"nakuomba,"
|
|
|
|
# kutoka kwenye nguvu yake
|
|
|
|
"kutoka kwenye nguvu ya Mfalme wa Ashuru" (UDB) au "kutoka kwenye majeshi ya Mfalme wa Ashuru."
|