# Maelezo ya Jumla: Mfalme Hezekia anaendelea kuomba kwa Yahwe baada ya kupokea barua kutoka kwa Mfalme Senakeribu wa Ashuru. # nakusihi "nakuomba," # kutoka kwenye nguvu yake "kutoka kwenye nguvu ya Mfalme wa Ashuru" (UDB) au "kutoka kwenye majeshi ya Mfalme wa Ashuru."