sw_tn/2ki/19/19.md

277 B

Maelezo ya Jumla:

Mfalme Hezekia anaendelea kuomba kwa Yahwe baada ya kupokea barua kutoka kwa Mfalme Senakeribu wa Ashuru.

nakusihi

"nakuomba,"

kutoka kwenye nguvu yake

"kutoka kwenye nguvu ya Mfalme wa Ashuru" (UDB) au "kutoka kwenye majeshi ya Mfalme wa Ashuru."