sw_tn/2ki/19/08.md

28 lines
448 B
Markdown

# kamanda mkuu
"afisa kutoka Ashuru msimamizi chini ya mfalme"
# kumkuta mfalme wa Ashuru akipigana
"aligundua kwamba jeshi la Ashuru lilikuwa likipigana"
# Libna ... Lakishi
Majina ya miji katika ufalme wa Yuda.
# Senakeribu ... Tirhaka
Haya ni majina ya wanaume.
# alihamasisha kupigana dhidi
"aliliandaa jeshi lake kupigana dhidi ya Ashuru"
# hivyo akamtuma
"hivyo Senakeribu aliwatuma"
# ujumbe
Huu ujumbe uliandikwa katika barua.