sw_tn/2ki/19/08.md

448 B

kamanda mkuu

"afisa kutoka Ashuru msimamizi chini ya mfalme"

kumkuta mfalme wa Ashuru akipigana

"aligundua kwamba jeshi la Ashuru lilikuwa likipigana"

Libna ... Lakishi

Majina ya miji katika ufalme wa Yuda.

Senakeribu ... Tirhaka

Haya ni majina ya wanaume.

alihamasisha kupigana dhidi

"aliliandaa jeshi lake kupigana dhidi ya Ashuru"

hivyo akamtuma

"hivyo Senakeribu aliwatuma"

ujumbe

Huu ujumbe uliandikwa katika barua.