# kamanda mkuu "afisa kutoka Ashuru msimamizi chini ya mfalme" # kumkuta mfalme wa Ashuru akipigana "aligundua kwamba jeshi la Ashuru lilikuwa likipigana" # Libna ... Lakishi Majina ya miji katika ufalme wa Yuda. # Senakeribu ... Tirhaka Haya ni majina ya wanaume. # alihamasisha kupigana dhidi "aliliandaa jeshi lake kupigana dhidi ya Ashuru" # hivyo akamtuma "hivyo Senakeribu aliwatuma" # ujumbe Huu ujumbe uliandikwa katika barua.