sw_tn/2ki/19/03.md

16 lines
511 B
Markdown

# siku hii ni siku ya mateso
Hapa "siku" ni neno lenye maana sawa na mda. "Huu ni wakati wa dhiki"
# wakati umewadia watoto kuzaliwa, lakini hakuna nguvu ili wazaliwe
Hii ni picha ya kuelezea jinsi watu na viongozi wao wamekuwa wadhaifu na kutoweza kupigana na adui.
# maneno yote
"Maneno" ni neno lenye maana sawa na ule ujumbe wa maneno.
# inua maombi yako juu
Hii ni njia ya kawaida (neno) kutumia tendo la kuinua picha ya kuwakilisha maombi kwa bidii kwa Yahwe ambaye yuko juu yetu. "omba kwa bidii"