# siku hii ni siku ya mateso Hapa "siku" ni neno lenye maana sawa na mda. "Huu ni wakati wa dhiki" # wakati umewadia watoto kuzaliwa, lakini hakuna nguvu ili wazaliwe Hii ni picha ya kuelezea jinsi watu na viongozi wao wamekuwa wadhaifu na kutoweza kupigana na adui. # maneno yote "Maneno" ni neno lenye maana sawa na ule ujumbe wa maneno. # inua maombi yako juu Hii ni njia ya kawaida (neno) kutumia tendo la kuinua picha ya kuwakilisha maombi kwa bidii kwa Yahwe ambaye yuko juu yetu. "omba kwa bidii"