sw_tn/2ki/19/03.md

511 B

siku hii ni siku ya mateso

Hapa "siku" ni neno lenye maana sawa na mda. "Huu ni wakati wa dhiki"

wakati umewadia watoto kuzaliwa, lakini hakuna nguvu ili wazaliwe

Hii ni picha ya kuelezea jinsi watu na viongozi wao wamekuwa wadhaifu na kutoweza kupigana na adui.

maneno yote

"Maneno" ni neno lenye maana sawa na ule ujumbe wa maneno.

inua maombi yako juu

Hii ni njia ya kawaida (neno) kutumia tendo la kuinua picha ya kuwakilisha maombi kwa bidii kwa Yahwe ambaye yuko juu yetu. "omba kwa bidii"