sw_tn/2ki/18/13.md

493 B

Senakerebu

Hili ni jina la mtu.

Lakishi

Hili ni jina la mji.

mji imara

Mji wenye kuta zilizoizunguka kwa ajili ya ulinzi.

Nichukue

Haya maelezo yasadiki kwamba "mimi" inawakilisha ufalme wa Hezekia. "Chukua jeshi lako nje ya eneo langu"

Popote utakaponiweka nitavumulia

"nitakulipa popote utakaponitaka"

talanta

Hili ni jina la aina ya uzito ambao ulitumika kwa ajili ya pesa.

hazina

Hapa palikuwa mahali katika mahali ambapo pesa na vitu vya thamani vilihifadhiwa.