# Senakerebu Hili ni jina la mtu. # Lakishi Hili ni jina la mji. # mji imara Mji wenye kuta zilizoizunguka kwa ajili ya ulinzi. # Nichukue Haya maelezo yasadiki kwamba "mimi" inawakilisha ufalme wa Hezekia. "Chukua jeshi lako nje ya eneo langu" # Popote utakaponiweka nitavumulia "nitakulipa popote utakaponitaka" # talanta Hili ni jina la aina ya uzito ambao ulitumika kwa ajili ya pesa. # hazina Hapa palikuwa mahali katika mahali ambapo pesa na vitu vya thamani vilihifadhiwa.