sw_tn/2ki/18/06.md

363 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi ya utawala wa Mfalme Hezekia inaendelea.

alishikamana na Yahwe

Ku "ambatana na Yahwe" ni picha ya kusema uaminifu na kuambatana. "Hezekia alikuwa mwaminifu kwa Yahwe" au "Hezekia alibaki mwaminifu kwa Yahwe"

na popote alipoenda alifanikiwa

"na popote Hezekia alipoenda alifanikiwa."

mji imara

mji wenye ukuta uliouzunguka