# Maelezo ya Jumla: Hadithi ya utawala wa Mfalme Hezekia inaendelea. # alishikamana na Yahwe Ku "ambatana na Yahwe" ni picha ya kusema uaminifu na kuambatana. "Hezekia alikuwa mwaminifu kwa Yahwe" au "Hezekia alibaki mwaminifu kwa Yahwe" # na popote alipoenda alifanikiwa "na popote Hezekia alipoenda alifanikiwa." # mji imara mji wenye ukuta uliouzunguka