sw_tn/2ki/17/21.md

663 B

Maelezo ya Jumla:

Sabau ya hukumu ya Yahwe juu ya Israeli kuendelea kuhusiana na historia nyuma yake.

Akawatoa

"Akawatoa" ni picha ya kuwatoa kwa kikatili. "Yahwe aliwatoa watu wa Israeli"

kutoka kwenye ukoo wa kifalme wa Daudi

"kutoka kwenye uzao wa Daudi" (UDB)

akawapeleka Israeli mbali na kumfuata Yahwe

"aliwageuza watu wa Israeli mbali na kumfuata Yahwe"

hawakujiepusha nazo

"Waisraeli hawakuacha kufanya hizi dhambi" au "Hawakugeuka kutoka kwenye hizo dhambo" (UDB)

basi Yahwe akawaondoa Israeli kutoka usoni mwake

"Uso" ni picha ya umakini na kujali. "Basi Yahwe aliwaondoa watu wa Israeli kutoka kwenye uangalifu wake na utunzaji"