sw_tn/2ki/17/21.md

24 lines
663 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Sabau ya hukumu ya Yahwe juu ya Israeli kuendelea kuhusiana na historia nyuma yake.
# Akawatoa
"Akawatoa" ni picha ya kuwatoa kwa kikatili. "Yahwe aliwatoa watu wa Israeli"
# kutoka kwenye ukoo wa kifalme wa Daudi
"kutoka kwenye uzao wa Daudi" (UDB)
# akawapeleka Israeli mbali na kumfuata Yahwe
"aliwageuza watu wa Israeli mbali na kumfuata Yahwe"
# hawakujiepusha nazo
"Waisraeli hawakuacha kufanya hizi dhambi" au "Hawakugeuka kutoka kwenye hizo dhambo" (UDB)
# basi Yahwe akawaondoa Israeli kutoka usoni mwake
"Uso" ni picha ya umakini na kujali. "Basi Yahwe aliwaondoa watu wa Israeli kutoka kwenye uangalifu wake na utunzaji"