sw_tn/2ki/17/13.md

354 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi inaendelea kufupishwa huku ya Yahwe juu ya Israeli.

Yahwe alishuhudia ... kwa kila nabii

Yahwe alizungumza kupitia manabii.

Keuka kutoka njia zako mbaya

"Kuacha kufanya mambo maovu uliyokuwa ukiyafanya"

nakuletea watumishi wangu manabii

Manabii walitumwa na Yahwe kuwakumbusha watu wa sheria za Mungu na kuzitii.