# Maelezo ya Jumla: Hadithi inaendelea kufupishwa huku ya Yahwe juu ya Israeli. # Yahwe alishuhudia ... kwa kila nabii Yahwe alizungumza kupitia manabii. # Keuka kutoka njia zako mbaya "Kuacha kufanya mambo maovu uliyokuwa ukiyafanya" # nakuletea watumishi wangu manabii Manabii walitumwa na Yahwe kuwakumbusha watu wa sheria za Mungu na kuzitii.