sw_tn/2ki/17/13.md

16 lines
354 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hadithi inaendelea kufupishwa huku ya Yahwe juu ya Israeli.
# Yahwe alishuhudia ... kwa kila nabii
Yahwe alizungumza kupitia manabii.
# Keuka kutoka njia zako mbaya
"Kuacha kufanya mambo maovu uliyokuwa ukiyafanya"
# nakuletea watumishi wangu manabii
Manabii walitumwa na Yahwe kuwakumbusha watu wa sheria za Mungu na kuzitii.