sw_tn/2ki/15/32.md

16 lines
532 B
Markdown

# Katik,a mwaka wa pili wa Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli
Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa pili wa utawala wake. "Katika mwaka wa 2 wa utawala wa Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli,"
# Yothamu mwana wa Azaria, mfalme wa yuda akaanza kutawala
"Yothamu mwana wa Azaria, mfalme wa Yuda akawa mfalme wa Yuda"
# Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano ... miaka kumi na sita
umri wa miaka mitano ... miaka kumi na sita - "Alikuwa na umri wa miaka 25 ... miaka 16"
# Yerusha
Hili ni jina la mwanamke.