sw_tn/2ki/15/32.md

532 B

Katik,a mwaka wa pili wa Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli

Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa pili wa utawala wake. "Katika mwaka wa 2 wa utawala wa Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli,"

Yothamu mwana wa Azaria, mfalme wa yuda akaanza kutawala

"Yothamu mwana wa Azaria, mfalme wa Yuda akawa mfalme wa Yuda"

Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano ... miaka kumi na sita

umri wa miaka mitano ... miaka kumi na sita - "Alikuwa na umri wa miaka 25 ... miaka 16"

Yerusha

Hili ni jina la mwanamke.