# Katik,a mwaka wa pili wa Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa pili wa utawala wake. "Katika mwaka wa 2 wa utawala wa Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli," # Yothamu mwana wa Azaria, mfalme wa yuda akaanza kutawala "Yothamu mwana wa Azaria, mfalme wa Yuda akawa mfalme wa Yuda" # Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano ... miaka kumi na sita umri wa miaka mitano ... miaka kumi na sita - "Alikuwa na umri wa miaka 25 ... miaka 16" # Yerusha Hili ni jina la mwanamke.