forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
591 B
Markdown
20 lines
591 B
Markdown
# Katika mwaka wa hamsini wa Azaria mfalme wa Yuda
|
|
|
|
Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa hamsini wa utawala wake. "Katika mwaka wa 50 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"
|
|
|
|
# Pekahia
|
|
|
|
Hili ni jina la kiume.
|
|
|
|
# yaliyo maovu usoni mwa Yahwe
|
|
|
|
Uso wa Yahwe unawakilisha hukumu ya Yahwe.
|
|
|
|
# Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati
|
|
|
|
Kuacha dhambi inawakilisha kuacha kuzifanya hizo dhambi. "Pekahia hakuacha kufanya dhambi za Yeroboamu mwana Nebati" au "kuasi kama Yeroboamu mwana wa nebati"
|
|
|
|
# alisababisha israeli kuasi
|
|
|
|
Hapa neno "Israeli" inawakilisha watu wa ufalme wa israeli.
|