sw_tn/2ki/15/23.md

591 B

Katika mwaka wa hamsini wa Azaria mfalme wa Yuda

Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa hamsini wa utawala wake. "Katika mwaka wa 50 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"

Pekahia

Hili ni jina la kiume.

yaliyo maovu usoni mwa Yahwe

Uso wa Yahwe unawakilisha hukumu ya Yahwe.

Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati

Kuacha dhambi inawakilisha kuacha kuzifanya hizo dhambi. "Pekahia hakuacha kufanya dhambi za Yeroboamu mwana Nebati" au "kuasi kama Yeroboamu mwana wa nebati"

alisababisha israeli kuasi

Hapa neno "Israeli" inawakilisha watu wa ufalme wa israeli.