sw_tn/2ki/15/21.md

523 B

je yameandikwa .. Israeli?

Hili swali linatumika labda kujulisha au kukumbusha wasomaji hiyo habari kuhusu Menahemu ipo katika hiki kitabu. "yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Waflme wa Israeli."

Menahemu akalala na wazee wake

Kulala inawakilisha kufa. "Menahemu alikufa kama wazee wake walivyokufa" au "kama wazee wake, Menahemu alikufa"

Pekahia

Hili ni jina la kiume.

kuwa mfalme katika mahali pake

Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaansha "badala ya yeye." "kuwa mfalme badala ya menahemu"