# je yameandikwa .. Israeli? Hili swali linatumika labda kujulisha au kukumbusha wasomaji hiyo habari kuhusu Menahemu ipo katika hiki kitabu. "yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Waflme wa Israeli." # Menahemu akalala na wazee wake Kulala inawakilisha kufa. "Menahemu alikufa kama wazee wake walivyokufa" au "kama wazee wake, Menahemu alikufa" # Pekahia Hili ni jina la kiume. # kuwa mfalme katika mahali pake Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaansha "badala ya yeye." "kuwa mfalme badala ya menahemu"