sw_tn/2ki/15/21.md

16 lines
523 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# je yameandikwa .. Israeli?
Hili swali linatumika labda kujulisha au kukumbusha wasomaji hiyo habari kuhusu Menahemu ipo katika hiki kitabu. "yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Waflme wa Israeli."
# Menahemu akalala na wazee wake
Kulala inawakilisha kufa. "Menahemu alikufa kama wazee wake walivyokufa" au "kama wazee wake, Menahemu alikufa"
# Pekahia
Hili ni jina la kiume.
# kuwa mfalme katika mahali pake
Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaansha "badala ya yeye." "kuwa mfalme badala ya menahemu"