sw_tn/2ki/15/19.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# Pulu mfalme wa Ashuru akaja juu ya nchi
Neno "Pulu mfalme wa Ashuru" inawakilisha Pulu na jeshi lake. "Pulu mfalme wa Ashuru akaja pamoja na jeshi lake juu ya nchi"
# Pulu mfalme wa Ashuru
Pulu ni jina la mwanamume ambaye alikuwa mfalme wa Ashuru. Pia alikuwa anaitwa Tiglath Pilesa.
# kuja juu ya nchi
Kuja juu ya nchi inawakilisha kuja kuwashambulia watu. "nchi" inarejea kwa nchi na watu wa Israeli. "kuja pamoja na jeshi kuwashambulia watu wa Israeli"
# talanta elfu moja za fedha
"talenti 1000 za fedha." unaweza kubadislisha hii na kipimo cha kisasa. " kilo elfu thalathini na nne za fedha"
# ili kwamba msaada wa Pulu unaweza kuwa naye
"msaada" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "msaada." "Pulu anaweza kumsaidia"
# kuimarisha utawala wa Israeli katika mkono wake
Kuwa na ufalme katika mkono wake inawakilisha kutawala ufalme. "kuimarisha utawala wake juu ya ufalme wa Israeli"
# kutoza hii pesa kutoka Israeli
"kuchukua hii pesa kutoka israeli"
# shekeli hamsini za fedha
Unaweza kubadilisha kwa kipimo cha kisasa. "gram mia sita za fedha"
# na hakukaa huko katika nchi
"na hakukaa huko katika Israeli"