# Pulu mfalme wa Ashuru akaja juu ya nchi Neno "Pulu mfalme wa Ashuru" inawakilisha Pulu na jeshi lake. "Pulu mfalme wa Ashuru akaja pamoja na jeshi lake juu ya nchi" # Pulu mfalme wa Ashuru Pulu ni jina la mwanamume ambaye alikuwa mfalme wa Ashuru. Pia alikuwa anaitwa Tiglath Pilesa. # kuja juu ya nchi Kuja juu ya nchi inawakilisha kuja kuwashambulia watu. "nchi" inarejea kwa nchi na watu wa Israeli. "kuja pamoja na jeshi kuwashambulia watu wa Israeli" # talanta elfu moja za fedha "talenti 1000 za fedha." unaweza kubadislisha hii na kipimo cha kisasa. " kilo elfu thalathini na nne za fedha" # ili kwamba msaada wa Pulu unaweza kuwa naye "msaada" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "msaada." "Pulu anaweza kumsaidia" # kuimarisha utawala wa Israeli katika mkono wake Kuwa na ufalme katika mkono wake inawakilisha kutawala ufalme. "kuimarisha utawala wake juu ya ufalme wa Israeli" # kutoza hii pesa kutoka Israeli "kuchukua hii pesa kutoka israeli" # shekeli hamsini za fedha Unaweza kubadilisha kwa kipimo cha kisasa. "gram mia sita za fedha" # na hakukaa huko katika nchi "na hakukaa huko katika Israeli"