sw_tn/2ki/15/19.md

1.1 KiB

Pulu mfalme wa Ashuru akaja juu ya nchi

Neno "Pulu mfalme wa Ashuru" inawakilisha Pulu na jeshi lake. "Pulu mfalme wa Ashuru akaja pamoja na jeshi lake juu ya nchi"

Pulu mfalme wa Ashuru

Pulu ni jina la mwanamume ambaye alikuwa mfalme wa Ashuru. Pia alikuwa anaitwa Tiglath Pilesa.

kuja juu ya nchi

Kuja juu ya nchi inawakilisha kuja kuwashambulia watu. "nchi" inarejea kwa nchi na watu wa Israeli. "kuja pamoja na jeshi kuwashambulia watu wa Israeli"

talanta elfu moja za fedha

"talenti 1000 za fedha." unaweza kubadislisha hii na kipimo cha kisasa. " kilo elfu thalathini na nne za fedha"

ili kwamba msaada wa Pulu unaweza kuwa naye

"msaada" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "msaada." "Pulu anaweza kumsaidia"

kuimarisha utawala wa Israeli katika mkono wake

Kuwa na ufalme katika mkono wake inawakilisha kutawala ufalme. "kuimarisha utawala wake juu ya ufalme wa Israeli"

kutoza hii pesa kutoka Israeli

"kuchukua hii pesa kutoka israeli"

shekeli hamsini za fedha

Unaweza kubadilisha kwa kipimo cha kisasa. "gram mia sita za fedha"

na hakukaa huko katika nchi

"na hakukaa huko katika Israeli"