sw_tn/2ki/15/01.md

20 lines
522 B
Markdown

# Katika mwaka wa ishirini na saba wa Yeroboamu
Mwaka wa saba wa Yeroboamu - huu ni mwaka wa ishirini na saba wa utawala wake. "Katika mwaka wa 27 wa utawala wa Yeroboamu"
# Azaaria
Huyu mfalme anajulikana vizuri leo kwa jina la Uziya."
# Yekolia
Hili ni jina la mama yake na Amazia
# Alifanya yaliyo sahihi
"Amazia alifanya yaliyo sahihi"
# yaliyo sahihi katika macho ya Yahwe
Neno "macho ya Yahwe" linasimama kwa ajili ya uso wa Yahwe, ambao ni badala ya hukumu ya Yahwe. "yaliyo sahihi katika hukumu ya Yahwe"