sw_tn/2ki/15/01.md

522 B

Katika mwaka wa ishirini na saba wa Yeroboamu

Mwaka wa saba wa Yeroboamu - huu ni mwaka wa ishirini na saba wa utawala wake. "Katika mwaka wa 27 wa utawala wa Yeroboamu"

Azaaria

Huyu mfalme anajulikana vizuri leo kwa jina la Uziya."

Yekolia

Hili ni jina la mama yake na Amazia

Alifanya yaliyo sahihi

"Amazia alifanya yaliyo sahihi"

yaliyo sahihi katika macho ya Yahwe

Neno "macho ya Yahwe" linasimama kwa ajili ya uso wa Yahwe, ambao ni badala ya hukumu ya Yahwe. "yaliyo sahihi katika hukumu ya Yahwe"