# Katika mwaka wa ishirini na saba wa Yeroboamu Mwaka wa saba wa Yeroboamu - huu ni mwaka wa ishirini na saba wa utawala wake. "Katika mwaka wa 27 wa utawala wa Yeroboamu" # Azaaria Huyu mfalme anajulikana vizuri leo kwa jina la Uziya." # Yekolia Hili ni jina la mama yake na Amazia # Alifanya yaliyo sahihi "Amazia alifanya yaliyo sahihi" # yaliyo sahihi katika macho ya Yahwe Neno "macho ya Yahwe" linasimama kwa ajili ya uso wa Yahwe, ambao ni badala ya hukumu ya Yahwe. "yaliyo sahihi katika hukumu ya Yahwe"