sw_tn/2ki/14/04.md

24 lines
730 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Hadithi ya kanuni ya Amazia kama mfalme wa Yuda inaednelea.
# Lakini mahali pa juu hapakuwa pamechukuliwa
Mahali pa juu palikuwa pakitumika kwa ajili ya kuabudu kipagani. "Lakini hakupaondoa mahali pajuu"
# kutoa sadaka na kufukiza ubani hapo mahali pa juu
"Mahali pa juu palitumika kwa ajili ya kuabudu kipagani. "kutoa sadaka na kufukiza ubani kwa miungu ya kipagani mahali pa juu"
# Ikawa mara
Hii inatumika kutambulisha tukio jipya.
# mapema kama kanuni yake ilipokuwa imeanzishwa vizuri
"mapema kama Amazia alipotambulisha kanuni ya kifalme na mamlaka ya kifalme"
# aliwaua watumishi
Amazia ni kama aliwaagiza watu wengine kuwaua maafisa. "aliwafanya watumishi wake kuwatekeleza maafisa" (UDB)