# Maelezo ya Jumla: Hadithi ya kanuni ya Amazia kama mfalme wa Yuda inaednelea. # Lakini mahali pa juu hapakuwa pamechukuliwa Mahali pa juu palikuwa pakitumika kwa ajili ya kuabudu kipagani. "Lakini hakupaondoa mahali pajuu" # kutoa sadaka na kufukiza ubani hapo mahali pa juu "Mahali pa juu palitumika kwa ajili ya kuabudu kipagani. "kutoa sadaka na kufukiza ubani kwa miungu ya kipagani mahali pa juu" # Ikawa mara Hii inatumika kutambulisha tukio jipya. # mapema kama kanuni yake ilipokuwa imeanzishwa vizuri "mapema kama Amazia alipotambulisha kanuni ya kifalme na mamlaka ya kifalme" # aliwaua watumishi Amazia ni kama aliwaagiza watu wengine kuwaua maafisa. "aliwafanya watumishi wake kuwatekeleza maafisa" (UDB)