sw_tn/2ki/14/04.md

730 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi ya kanuni ya Amazia kama mfalme wa Yuda inaednelea.

Lakini mahali pa juu hapakuwa pamechukuliwa

Mahali pa juu palikuwa pakitumika kwa ajili ya kuabudu kipagani. "Lakini hakupaondoa mahali pajuu"

kutoa sadaka na kufukiza ubani hapo mahali pa juu

"Mahali pa juu palitumika kwa ajili ya kuabudu kipagani. "kutoa sadaka na kufukiza ubani kwa miungu ya kipagani mahali pa juu"

Ikawa mara

Hii inatumika kutambulisha tukio jipya.

mapema kama kanuni yake ilipokuwa imeanzishwa vizuri

"mapema kama Amazia alipotambulisha kanuni ya kifalme na mamlaka ya kifalme"

aliwaua watumishi

Amazia ni kama aliwaagiza watu wengine kuwaua maafisa. "aliwafanya watumishi wake kuwatekeleza maafisa" (UDB)