sw_tn/2ki/12/13.md

8 lines
279 B
Markdown

# haikulipwa kwa kufanya chochote
"hazikutumika kulipwa kwa ajili ya sehemu yoyote ya hekalu"
# vikombe vya fedha, mabeseni, au dhahabu au fedha yoyote ya vyombo
Hivi ni vitu ambavyo vilikuwa vitumike na makuhani kwa ajili ya kazi mbali mbali, kama vile dhabihu au sikukuu.