sw_tn/2ki/12/13.md

279 B

haikulipwa kwa kufanya chochote

"hazikutumika kulipwa kwa ajili ya sehemu yoyote ya hekalu"

vikombe vya fedha, mabeseni, au dhahabu au fedha yoyote ya vyombo

Hivi ni vitu ambavyo vilikuwa vitumike na makuhani kwa ajili ya kazi mbali mbali, kama vile dhabihu au sikukuu.