# haikulipwa kwa kufanya chochote "hazikutumika kulipwa kwa ajili ya sehemu yoyote ya hekalu" # vikombe vya fedha, mabeseni, au dhahabu au fedha yoyote ya vyombo Hivi ni vitu ambavyo vilikuwa vitumike na makuhani kwa ajili ya kazi mbali mbali, kama vile dhabihu au sikukuu.