sw_tn/2ki/09/09.md

649 B

Maelezo ya Jumla:

Nabii mdogo anaendelea kunena maneno ya Yahwe kwa Yehu, ambaye alikuwa amepakwa mafuta kama mfalme juu ya Israeli.

Nitaifanya nyumba ya Ahabu kama

Hii inamaanisha kwamba Mungu atamwangamiza Ahabu na familia yake kama alivyomwangamiza Yeroboamu na Baasha na familia zao. "nitaiendesha nyumba ya Ahabu kama ninavyoiendesha ya"

nyumba ya

Hili neno limetumika katika huu mstari mara tatu. Kila wakati, neno "nyumba" linarejea kwa "familia" ya mtu maalumu. "familia ya"

Nebati ... Ahiya

Haya ni majina ya wanaume.

Mbwa watamla Yezebeli

Hii inamaanisha kwamba mbwa wataila maiti yake. "Mbwa wataila maiti ya Yezebeli"