sw_tn/2ki/09/04.md

309 B

tazama

Mwandisha anatumia neno "tazama" kupeleka umakini kwa kile kifuatacho.

manahodha wa jeshi walikuwa wameketi

Yehu alikuwa ameketi miongoni mwa manahodha. "Yehu na baadhi maafisa wa majeshi mengine waliokuwa wameketi pamoja"

Yupi kati yetu

Neno "sisi" linarejea kwa Yehu na manahodha wengine.