# tazama Mwandisha anatumia neno "tazama" kupeleka umakini kwa kile kifuatacho. # manahodha wa jeshi walikuwa wameketi Yehu alikuwa ameketi miongoni mwa manahodha. "Yehu na baadhi maafisa wa majeshi mengine waliokuwa wameketi pamoja" # Yupi kati yetu Neno "sisi" linarejea kwa Yehu na manahodha wengine.